Machapisho

jitatz habari

Magazeti ya leo

Picha
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 21-2018 - NDANI NA NJE YA TANZANIA  Jitatz     3 hrs ago    Magazeti, Natumai umeamka mzima kabisa wa afya na siha msomaji wa blog yetu ya  Jitatz tayari kama kawaida nimeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza vichwa vya habari katika kurasa za mbele na nyuma za  magazeti ya TANZANIA na nje ya TANZANIA siku ya leo , endelea kufatilia mtandao wetu na  usikose ku   download App   yetu kwenye play store kwa kuandika   Jitatz  na usikose ku subscibe channel yetu ya you tube.  "TUNAWATAKIA WASOMAJI WETU WA BLOG YENU PENDWA MFUNGO MWEMA WA RAMADHANI".

IGP Siro amemuamisha asikari wa shambulio la aibu

Picha
Leo May 17, 2018  Mkuu wa jeshi la polisi nchini  IGP Simon Sirro  amefanya uteuzi na mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa polisi wa mikoa katika Mikoa mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa jeshi la polisi nchini  Barnabas Mwakalukwa  imesema  IGP Sirro  amemteua Naibu Kamishna wa Polisi  Maulid Mabakila  aliyekuwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha kuzuia uhalifu Makao makuu ya Polisi DSM kuwa Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Zanzibar. IGP Sirro pia amefanya mabadiliko kwa Makamanda wa  Mikoa ambapo Naibu DCI Zanzibar Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi  Ramadhan Ng’anzi  ameteuliwa kuwa RPC wa Arusha huku RPC Arusha  Charles Mkumbo  akihamishiwa Makao Makuu. Pia aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mjini Magharibi  Hassan Nassir Ali  amehamishiwa Kaskazini Pemba na nafsi yake ikichukuliwa na Kamishna na msaidizi  Thobias Sedoyeka .  ...

Magazeti

Picha
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MEI 6, 2018. By  Jita Tz  - May 6, 2018 14     
Picha
 Nunua gari kwa bei poa kabsa  Pia baso lina uwezo mzur injini bado nzur imetembea kilometa chache Inauzwa million 7.1 pia maelewano yapo kwa mawasiliano zaidie piga simu namba +255677302779