JACK PEMBA ASUSA MAGARI YA BILIONI 1 April 30, 2018 by jitatz Jack pemba (kushoto), akigawa pesa. BAADA ya kufunguliwa kesi na tajiri mwenzake, Godfrey Kirumira wa nchini Uganda, Pedeshee Jack Marshal Pemba, ametikisa baada ya kuibuka kwa stori kwamba kumbe aliyasusa magari yake matatu ya kifahari yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.2 za Uganda. Jack Pemba. Kufuatia habari hizo na nyinginezo huku Jack akihusishwa na video za ngono zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Ijumaa Wikien da lilimtafuta mmoja wa ndugu za tajiri huyo anayejulikana kwa kufanya kufuru ya fedha, Eliudi Pemba ambaye alifunguka kila kitu juu ya sakata hilo. Magari yake ya kifahari. Eliudi aliliambia gazeti hili kuwa, ni kweli kwamba, Jack Pemba ambaye anaishi nchini Uganda alimkopa Kirumira kiasi cha dola laki 2 za Kimarekani (zaidi ya shilingi milioni 450 za Kibongo) ambazo mahakama imeamuru kaka yake azilipe, lakini mwenye...
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 30, 2018
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Imeandikwa na
Unknown
TUNDU LISU KURUDI KUTOKA UBELIGIJI. MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwanchini Ubelgiji anatarajiwakurudi nyumbani siku yoyote kuanzia juzi, baada ya madaktari kumaliza kumpatia matibabu,amesema. Lissu ambaye amekuwa hospitalini tangu Septemba 7, mwaka janaaliposhambuliwa nyumbani kwake Area D, mjiniDodoma, aliliambia shirika la utangazaji la BBC juzi, kuwa kwa sasa hana tena kidonda cha risasi na yupo tayari kurudi nyumbani. "Sina tena kidonda cha risasi, nilipigwa mara 16," alidai Lissu (50) nakufafanua "sina tena kiungo kilichovunjwa". "Nilikuwa nimevunjwamguu mmoja mara tatu, mikono yote ilikuwa imevunjwa, nilikuwa na risasi nyingi mwilini, na vidonda vingi." Lissu ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, alisema viungo vyotevilivyokuwa vimevunjika vimeshaunga. Alisema tangu aanze kupatamatibabu amefanyiwa operesheni 17, nne zikiwa sehemu ya tumbo, lakinisasa hali yake ni nzuri. Lissu alisema an...