*SABABU ZA KUSHINDWA KWA MAANDAMANO YA MBOWE KUPITIA MANGE*. Imeandikwa na; *Philipo Mwakibinga* 26/04/2018. Kwanza nitoe niweke wazi kuwa mimi ni mzoefu na nguli wa maandamano na jamii ninayoishi nayo inajua hivyo. Nilianza kuandamana kabla hata Mange hafikiri wala kutamani kuandamana, kipindi mimi naandamana na kuongoza maandamano ambayo yalikuwa yanaungwa mkono na yalileta tija, Mange alikuwa miongoni mwa wanaopinga na kubeza maandamano. Kwa kua alikuwa upande wa waliochukizwa na maandamano nidhahili kuwa Mange alikuwa hajawahi kabisa kuamini au kuota kama angetamani sikumoja kuandamana, hali hii ilimfanya ashindwe hata kujifunza au kupata nafasi ya kuelimishwa au kujielimisha juu ya maamdamano. Mange kajikuta anatumia nguvu nyingi kuandaa maandamano hewa. Ni maandamano hewa kwasababu kashindwa na hatokuja kurudia tena kuamini kuwa anaweza kuandamanisha Watanzania. *Kwasababu zifuatazo Mange kashindwa;* *1*.Mange kwa dhamira yake ya dhati hana sababu...