Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi 1, 2018

HAYA HAPA MAGAZATE

Picha
Pata habar zilizo gonga vichwa vya habari katika magazeti ya Leo tarehe 2/3/2018

JITA TZ AHOJIWA NA KITUO CHA VICTORIA FM

Picha
JITA TZ      Ahojiwa na Victoria FM  Musoma kwa njia ya simu juu ya kile alichokisema kuhusu kufungiwa kwa nyimbo za singeli nchini  na kusema kua ameamua kusema hivyo baada ya kuona hizo nyimbo hazina maantiki na hazina cha kuwafundisha vijana zaidi kuwapotosha na kuwafanya washindwe kwenda shule. sikliza mahojiano live kupitia www.victoriafm.com

Nyimbo za singeri nchini zifungiwe na jita tz soma zaidi hapa...

Picha
       SERIKALI YAOMBWA KUFUNGIA NYIMBO ZA SINGELI   inchini.                                                               NA Jita Tz!! !  Naomba nyimbo za singeli zifungiwe coz hazina maadili na hakuna zinachofindisha zaid ya kuwaalibu vijana wenzetu mitaani hasa wanaoalibika ni wale vijana wenye umli mdogo ambao wanatakiwa kusoma na kuja kuwa viongoz wa kuliongoza taifa hili hapo badae akizungumza na gazeti la JAMVI LA BABARI ( Jita Tz ) amesema muziki huu unaopigwa hasa mitaani huwaalibu sana watoto kwani muziki huo hauna unachofundisha zaid kuwapotosha vijana wetu  na pia hata uchezaji wake sio mzuur kimaadili kwani wengi wao hucheza muziki huo wakiwa uchi kitu ambacho ni kinyume na maadili yetu hivyo mi ningependa muziki huu ufungiwe kabsa inchi kwetu akatolea mfano w...