Nyimbo za singeri nchini zifungiwe na jita tz soma zaidi hapa...
SERIKALI YAOMBWA KUFUNGIA NYIMBO ZA SINGELI inchini.
NA Jita Tz!!!
@jitatz
NA Jita Tz!!!
- Naomba nyimbo za singeli zifungiwe coz hazina maadili na hakuna zinachofindisha zaid ya kuwaalibu vijana wenzetu mitaani hasa wanaoalibika ni wale vijana wenye umli mdogo ambao wanatakiwa kusoma na kuja kuwa viongoz wa kuliongoza taifa hili hapo badae akizungumza na gazeti la JAMVI LA BABARI (Jita Tz) amesema muziki huu unaopigwa hasa mitaani huwaalibu sana watoto kwani muziki huo hauna unachofundisha zaid kuwapotosha vijana wetu na pia hata uchezaji wake sio mzuur kimaadili kwani wengi wao hucheza muziki huo wakiwa uchi kitu ambacho ni kinyume na maadili yetu hivyo mi ningependa muziki huu ufungiwe kabsa inchi kwetu akatolea mfano wa video iliyifungiwa ya msanii wa singeli manifongo na kusema zipo video nyingi kwenye muziki huo zinaitaji kufungiwa hivyo serikali yetu iliangalie tusiwapoteze vijana wetu kwa muziki huu hasa hapa dar es salaam na kuongezea kua wasanii wetu watoe miziki yenye kufundisha jamii na kuacha kuiga ughaibuni mambo ambayo sio mazur kwa inchi yetu ambayo bado ni chaanga inaitaji kujifunza zaidi mambo mazur na sio kuanza kutuposha kwa video kama hizo
@jitatz
Maoni
Chapisha Maoni