Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 17, 2018

IGP Siro amemuamisha asikari wa shambulio la aibu

Picha
Leo May 17, 2018  Mkuu wa jeshi la polisi nchini  IGP Simon Sirro  amefanya uteuzi na mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa polisi wa mikoa katika Mikoa mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa jeshi la polisi nchini  Barnabas Mwakalukwa  imesema  IGP Sirro  amemteua Naibu Kamishna wa Polisi  Maulid Mabakila  aliyekuwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha kuzuia uhalifu Makao makuu ya Polisi DSM kuwa Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Zanzibar. IGP Sirro pia amefanya mabadiliko kwa Makamanda wa  Mikoa ambapo Naibu DCI Zanzibar Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi  Ramadhan Ng’anzi  ameteuliwa kuwa RPC wa Arusha huku RPC Arusha  Charles Mkumbo  akihamishiwa Makao Makuu. Pia aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mjini Magharibi  Hassan Nassir Ali  amehamishiwa Kaskazini Pemba na nafsi yake ikichukuliwa na Kamishna na msaidizi  Thobias Sedoyeka .  ...