Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili 29, 2018

MUME AMTOA MANUNDU MKEWE KISA MPIRA WA YANGA NA SIMBA.

Picha
MUME AMTOA MADUNDU MKEWE   Mwanaume mmoja mjini tanga leo amempiga mkewe na kufanyia kilema cha macho baada ya team yake kufungwa Inasemekana jamaa huyo arirudi nyumbani baada ya kutoka kuangalia mechi kati ya yanga na simba alipo fika nyumban alikua na hasira sana alimkuta mkewe kakaa na mashoga zake na kumuita huku akidai anataka maji ya kuoga mkewe akamjibu nakuja alichukua dk kama  10 hivi kwenda kumsikioiza mmewe ndipo mwanaume huyo aliposhikwa na hasila na kufuata mkewe mbele ya mashoga zake na  kuanza kumshushia kipigo kilichopelekea mwanamke huyo kuvimba sana sehem za usoni mpaka hivi sasa mwanaume huyo anashikiliwa na jeshi la police mkoan humo kwa tukio hilo la kumpiga mkewe.....

POLICE ABAKWA ALIPOKWENDA KUMKAMATA MBAKAJI

Picha
Askari Polisi mmoja wa kike huko  Yorkshire Kusini, nchini England  ameripoti kubakwa na mwanaume ambaye alikwenda kumkamata akiwa na askari mwingine kwa makosa ya jaribio la kubaka. Mwanaume huyo alikuwa akihisiwa kufanya vitendo hivyo vya  kujaribu kubaka watoto wa kike  na ndipo askari huyo alipokwenda na mwenzie kumkamata ili afikishwe polisi.