MUME AMTOA MANUNDU MKEWE KISA MPIRA WA YANGA NA SIMBA.
MUME AMTOA MADUNDU MKEWE
Mwanaume mmoja mjini tanga leo amempiga mkewe na kufanyia kilema cha macho baada ya team yake kufungwa
Inasemekana jamaa huyo arirudi nyumbani baada ya kutoka kuangalia mechi kati ya yanga na simba
alipo fika nyumban alikua na hasira sana
alimkuta mkewe kakaa na mashoga zake
na kumuita huku akidai anataka maji ya kuoga mkewe akamjibu nakuja alichukua dk kama 10 hivi kwenda kumsikioiza mmewe
ndipo mwanaume huyo aliposhikwa na hasila na kufuata mkewe mbele ya mashoga zake na kuanza kumshushia kipigo kilichopelekea mwanamke huyo kuvimba sana sehem za usoni mpaka hivi sasa mwanaume huyo anashikiliwa na jeshi la police mkoan humo kwa tukio hilo la kumpiga mkewe.....
Maoni
Chapisha Maoni