JITA TZ AHOJIWA NA KITUO CHA VICTORIA FM

JITA TZ     Ahojiwa na Victoria FM  Musoma kwa njia ya simu juu ya kile alichokisema kuhusu kufungiwa kwa nyimbo za singeli nchini
 na kusema kua ameamua kusema hivyo baada ya kuona hizo nyimbo hazina maantiki na hazina cha kuwafundisha vijana zaidi kuwapotosha na kuwafanya washindwe kwenda shule. sikliza mahojiano live kupitia www.victoriafm.com

Maoni

HABARI

mvua yasababisha mabsa bas ya mwendo kasi kusitisha huduma

NANDY AOMBA MSAMAHA KUHUSU KUVUJA KWA VIDEO YAKE AKIFANYA MAPENZI NA BIL NAS

Nyimbo za singeri nchini zifungiwe na jita tz soma zaidi hapa...