Machapisho

IGP Siro amemuamisha asikari wa shambulio la aibu

Picha
Leo May 17, 2018  Mkuu wa jeshi la polisi nchini  IGP Simon Sirro  amefanya uteuzi na mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa polisi wa mikoa katika Mikoa mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa jeshi la polisi nchini  Barnabas Mwakalukwa  imesema  IGP Sirro  amemteua Naibu Kamishna wa Polisi  Maulid Mabakila  aliyekuwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha kuzuia uhalifu Makao makuu ya Polisi DSM kuwa Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Zanzibar. IGP Sirro pia amefanya mabadiliko kwa Makamanda wa  Mikoa ambapo Naibu DCI Zanzibar Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi  Ramadhan Ng’anzi  ameteuliwa kuwa RPC wa Arusha huku RPC Arusha  Charles Mkumbo  akihamishiwa Makao Makuu. Pia aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mjini Magharibi  Hassan Nassir Ali  amehamishiwa Kaskazini Pemba na nafsi yake ikichukuliwa na Kamishna na msaidizi  Thobias Sedoyeka .  ...

Magazeti

Picha
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MEI 6, 2018. By  Jita Tz  - May 6, 2018 14     
Picha
 Nunua gari kwa bei poa kabsa  Pia baso lina uwezo mzur injini bado nzur imetembea kilometa chache Inauzwa million 7.1 pia maelewano yapo kwa mawasiliano zaidie piga simu namba +255677302779
Picha
JACK PEMBA ASUSA MAGARI YA BILIONI 1 April 30, 2018 by  jitatz Jack pemba (kushoto), akigawa pesa. BAADA ya kufunguliwa kesi na tajiri mwenzake, Godfrey Kirumira wa nchini Uganda, Pedeshee Jack Marshal Pemba, ametikisa baada ya kuibuka kwa stori kwamba kumbe aliyasusa magari yake matatu ya kifahari yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.2 za Uganda.   Jack Pemba.   Kufuatia habari hizo na nyinginezo huku Jack akihusishwa na video za ngono zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Ijumaa Wikien da lilimtafuta mmoja wa ndugu za tajiri huyo anayejulikana kwa kufanya kufuru ya fedha, Eliudi Pemba ambaye alifunguka kila kitu juu ya sakata hilo.   Magari yake ya kifahari.   Eliudi aliliambia gazeti hili kuwa, ni kweli kwamba, Jack Pemba ambaye anaishi nchini Uganda alimkopa Kirumira kiasi cha dola laki 2 za Kimarekani (zaidi ya shilingi milioni 450 za Kibongo) ambazo mahakama imeamuru kaka yake azilipe, lakini mwenye...
Picha
TUNDU LISU KURUDI KUTOKA UBELIGIJI. MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwanchini Ubelgiji anatarajiwakurudi nyumbani siku yoyote kuanzia juzi, baada ya madaktari kumaliza kumpatia matibabu,amesema. Lissu ambaye amekuwa hospitalini tangu Septemba 7, mwaka janaaliposhambuliwa nyumbani kwake Area D, mjiniDodoma, aliliambia shirika la utangazaji la BBC juzi, kuwa kwa sasa hana tena kidonda cha risasi na yupo tayari kurudi nyumbani. "Sina tena kidonda cha risasi, nilipigwa mara 16," alidai Lissu (50) nakufafanua "sina tena kiungo kilichovunjwa". "Nilikuwa nimevunjwamguu mmoja mara tatu, mikono yote ilikuwa imevunjwa, nilikuwa na risasi nyingi mwilini, na vidonda vingi." Lissu ambaye pia ni Mnadhimu Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, alisema viungo vyotevilivyokuwa vimevunjika vimeshaunga. Alisema tangu aanze kupatamatibabu amefanyiwa operesheni 17, nne zikiwa sehemu ya tumbo, lakinisasa hali yake ni nzuri. Lissu alisema an...

MUME AMTOA MANUNDU MKEWE KISA MPIRA WA YANGA NA SIMBA.

Picha
MUME AMTOA MADUNDU MKEWE   Mwanaume mmoja mjini tanga leo amempiga mkewe na kufanyia kilema cha macho baada ya team yake kufungwa Inasemekana jamaa huyo arirudi nyumbani baada ya kutoka kuangalia mechi kati ya yanga na simba alipo fika nyumban alikua na hasira sana alimkuta mkewe kakaa na mashoga zake na kumuita huku akidai anataka maji ya kuoga mkewe akamjibu nakuja alichukua dk kama  10 hivi kwenda kumsikioiza mmewe ndipo mwanaume huyo aliposhikwa na hasila na kufuata mkewe mbele ya mashoga zake na  kuanza kumshushia kipigo kilichopelekea mwanamke huyo kuvimba sana sehem za usoni mpaka hivi sasa mwanaume huyo anashikiliwa na jeshi la police mkoan humo kwa tukio hilo la kumpiga mkewe.....

POLICE ABAKWA ALIPOKWENDA KUMKAMATA MBAKAJI

Picha
Askari Polisi mmoja wa kike huko  Yorkshire Kusini, nchini England  ameripoti kubakwa na mwanaume ambaye alikwenda kumkamata akiwa na askari mwingine kwa makosa ya jaribio la kubaka. Mwanaume huyo alikuwa akihisiwa kufanya vitendo hivyo vya  kujaribu kubaka watoto wa kike  na ndipo askari huyo alipokwenda na mwenzie kumkamata ili afikishwe polisi.