@Jita_tz
ME/ mpenda maendeleo!Mungu kwanza! Heshimu mawazo yangu ila ishi maisha yako!!. Ruksa kunipa ushauri Ila sio lazma ushauri wako uendeshe maisha yangu.
Kampuni inayotoa huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (UDART) imeamua kusitisha usafirishaji wa abiria kwa baadhi ya njia kuanzia saa 11:00 alfajiri kutokana na kufungwa kwa barabara ya Morogoro eneo la Jangwani kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano UDART, Deus Bugaywa na kusema wamechukua maamuzi hayo kutokana na maji mengi ya mvua kupita juu ya daraja la Mto Msimbazi Jijini Dar es Salaam hali ambayo inahatarisha usalama wa abiria na vyombo vya usafirishaji. "Kwa sasa huduma zinatolewa kwa njia za Kimara - Morroco, Kimara - Magomeni Mapipa, na Gerezani - Muhimbili. Huduma kamili zitarejea mara baada ya barabara kufunguliwa", amesema Bugaywa. Kwa upande mwingine, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano UDART, Deus Bugaywa amewaomba radhi wananchi wanaotumia usafiri huo kwa usumbufu ambao umejitokeza.
Nimesikitika sana, hiyo video ni ya ukweli ni ya mwaka 2016, nilikuwa na mahusiano na Bill Nas na tulikubaliana iwe siri, sasa sielewi kwa sababu gani kaamua kuvujisha, nimesikitishwa sana, ni video ambayo ilishutiwa kwa snapchat, sasa sielewi wakati ameipata hiyo video alikuwa nayo au alichukua mwenyewe, sijui niseme nini, naomba radhi sana kwa familia yangu, kanisani kwangu, serikali yangu, mashabiki, naomba radhi sana, adhabu ya maumivu ambayo nayapata imetokana na kumuamini mtu, ilikuwa ni private” :- Nandy Unamshauri nini Nandy kwa jambo hili
SERIKALI YAOMBWA KUFUNGIA NYIMBO ZA SINGELI inchini. NA Jita Tz!! ! Naomba nyimbo za singeli zifungiwe coz hazina maadili na hakuna zinachofindisha zaid ya kuwaalibu vijana wenzetu mitaani hasa wanaoalibika ni wale vijana wenye umli mdogo ambao wanatakiwa kusoma na kuja kuwa viongoz wa kuliongoza taifa hili hapo badae akizungumza na gazeti la JAMVI LA BABARI ( Jita Tz ) amesema muziki huu unaopigwa hasa mitaani huwaalibu sana watoto kwani muziki huo hauna unachofundisha zaid kuwapotosha vijana wetu na pia hata uchezaji wake sio mzuur kimaadili kwani wengi wao hucheza muziki huo wakiwa uchi kitu ambacho ni kinyume na maadili yetu hivyo mi ningependa muziki huu ufungiwe kabsa inchi kwetu akatolea mfano w...
Maoni
Chapisha Maoni