MWENDO KASI WA MAGUFULI
Mwendo kasi wa mheshimiwa magufuli katika serikali yake ya awamu ya 5 umeanza kuwaacha wengine nyuma hasa wapinzani wamebaki nyuma sana badala ya kuleta changamoto ka wanainchi sasa imebaki kusota sero kila kukicha ni kiguu na police zile sela zao zlna harakat zao zimegonga mwamba baana ya kujikuta wanaikosoa serikali kila kukicha!!!!
Maoni
Chapisha Maoni