RAIS AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI ASUBUI HII

Asubuhi ya leo April 23, 2018, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya mabadiliko ya kiuongozi katika Benki ya Posta Tanzania (TPB).


Rais Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti  wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Prof. Lettice Rutashobya, ambae amemaliza muda wake.


Kwa mujibu wa Ikulu, uteuzi wa Dkt. Edmund Bernard Mndolwa umeanza  leo tarehe 23, April, 2018.



Maoni

HABARI

mvua yasababisha mabsa bas ya mwendo kasi kusitisha huduma

NANDY AOMBA MSAMAHA KUHUSU KUVUJA KWA VIDEO YAKE AKIFANYA MAPENZI NA BIL NAS

Nyimbo za singeri nchini zifungiwe na jita tz soma zaidi hapa...