Machapisho

MAHAKAMANI

Mahakama imewaachia wangonjwa 55 wa akili.  >> http://kulunzifikra.blogspot.com/2018/03/mahakama-imewaachia-wangonjwa-55-wa.html

MWENDO KASI WA MAGUFULI

Picha
Mwendo kasi wa mheshimiwa magufuli katika serikali yake ya awamu ya 5 umeanza kuwaacha wengine nyuma hasa wapinzani wamebaki nyuma sana badala ya kuleta changamoto ka wanainchi sasa imebaki kusota sero kila kukicha ni kiguu na police zile sela zao zlna harakat zao zimegonga mwamba baana ya kujikuta wanaikosoa serikali kila kukicha!!!!

HAYA HAPA MAGAZATE

Picha
Pata habar zilizo gonga vichwa vya habari katika magazeti ya Leo tarehe 2/3/2018

JITA TZ AHOJIWA NA KITUO CHA VICTORIA FM

Picha
JITA TZ      Ahojiwa na Victoria FM  Musoma kwa njia ya simu juu ya kile alichokisema kuhusu kufungiwa kwa nyimbo za singeli nchini  na kusema kua ameamua kusema hivyo baada ya kuona hizo nyimbo hazina maantiki na hazina cha kuwafundisha vijana zaidi kuwapotosha na kuwafanya washindwe kwenda shule. sikliza mahojiano live kupitia www.victoriafm.com

Nyimbo za singeri nchini zifungiwe na jita tz soma zaidi hapa...

Picha
       SERIKALI YAOMBWA KUFUNGIA NYIMBO ZA SINGELI   inchini.                                                               NA Jita Tz!! !  Naomba nyimbo za singeli zifungiwe coz hazina maadili na hakuna zinachofindisha zaid ya kuwaalibu vijana wenzetu mitaani hasa wanaoalibika ni wale vijana wenye umli mdogo ambao wanatakiwa kusoma na kuja kuwa viongoz wa kuliongoza taifa hili hapo badae akizungumza na gazeti la JAMVI LA BABARI ( Jita Tz ) amesema muziki huu unaopigwa hasa mitaani huwaalibu sana watoto kwani muziki huo hauna unachofundisha zaid kuwapotosha vijana wetu  na pia hata uchezaji wake sio mzuur kimaadili kwani wengi wao hucheza muziki huo wakiwa uchi kitu ambacho ni kinyume na maadili yetu hivyo mi ningependa muziki huu ufungiwe kabsa inchi kwetu akatolea mfano w...
MATOKEO YA JUMLA JIMBO LA KINONDONI Walipiga kura 45,454. Kura zilizoharibika 587. Kurw Halali 44,996. Mtulia CCM 30,247. SALUM CDM 12,353. Oneni tofauti kati ya Mtulia na Mwalimu CCM CHAMA TAWALA CHAMA CHA WANYONGE......

UCHAGUZI JIMBO LA KINONDONI

Habari   ccm yaendelea kushika kas katka jimbo la kinondoni leo fuatilia uchaguzi kupitia jitatz blogspot sasa utapata habar zote kuhusu kinachoondelea kinondon leo!!!!!↫⇰